iqna

IQNA

mahakama ya ICC
Jinai za Israel
IQNA-Serikali za Mexico na Chile zimeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza na kuwashtaki maafisa wa utawala wa Israel ambao wamehusika katika jinai za kivita dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478215    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/19

Watetezi wa Palestina
IQNA - Waandamanaji kutoka matabaka mbalimbali walifanya maandamano mjini The Hague, Uholanzi kudai haki kwa Wapalestina na uchunguzi wa jinai zinazofanywa na utawala wa Israel huko Gaza.
Habari ID: 3478106    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/28

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kiislamu yenye makao yake London (IHRC) amekosoa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa undumilakuwili wake linapokuja suala la kushtaki wahusika wa uhalifu wa kivita.
Habari ID: 3478050    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/17

Jinai za Israel
PRETORIA (IQNA)-Afrika Kusini imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye makao yake makuu mjini The Hague (ICC) kuuwajibisha utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na vitendo vyake vya ukiukaji wa sheria za kimataifa wakati utawala huo ukiendelea kufanya jinai dhidi ya binadamu katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477867    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/09

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Mashirika 198 ya Palestina na kimataifa yameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza jinai za utawala wa kikoloni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3476164    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28